Maji vs Hazina
makweba manumbu makweba manumbu
28 subscribers
101 views
2

 Published On Sep 23, 2024

Timu ya Wizara ya Maji, Netball imeshindwa kufurukuta mbele ya Timu ya Wizara ya Fedha – Hazina. Matokeo ya mchezo huo, Hazina 32 na Maji 21. Mchezo huo umechezwa leo tarehe 23 Septemba, 2024 katika viwanja ya Jamhuri mjini Morogoro wakati wa mashindano ya SHIMIWI 2024

show more

Share/Embed