Rais Samia ataka wamachinga watambulike
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
70 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Msikilize Rais Samia Suluhu Hassan akisimulia namna raia wa China anayefanya biashara ya kuuza mitumba Kariakoo alivyokuwa akipigana ngumi na mfanyabiashara wa kitanzania. Amemuagiaza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuwasajili wamachinga ili watambulike.

#AzamTVUpdates
Mhariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed