AIBU YANGU |3| Love story❤️😘
Adam Leo Studios Adam Leo Studios
146K subscribers
63,975 views
1.1K

 Published On Jul 2, 2024

AIBU YANGU |3| Love story❤️😘

Ni filamu inayoelezea maisha ya mwanadada Hidaya ambaye anakata kuolewa na mpenzi wake wa muda mrefu Adam, kitu kinachopelekea shoga yake Zai kuona mwanya huo na kuutumia kumnasa shemeji yake kimapenzi

Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.

#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #aibuyangu3

show more

Share/Embed