Magoli | Bidco United 3-4 Gor Mahia | FKF Premier League 23/06/2024
Azam TV Azam TV
2.66M subscribers
2,460 views
0

 Published On Jun 23, 2024

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Gor Mahia FC wamehitimisha msimu kwa heshima baada ya kuwatandika Bidco United mabao 4-3 katika mchezo wa kufungia msimu uliopigwa Kenyatta Stadium, Machakos.

Katika mchezo huu, top scorer' Benson Omalla amefunga mawili huku mengine yakitoka kwa Mark Shaban na Ronney Onyango huku magoli ya Bidco yakifungwa na John Kelwish aliyefunga mawili, pamoja na Jacob Onyango.

Haya hapa magoli yote saba.....

show more

Share/Embed