Hadithi ya Kachiki - 88B
Hadithimbalimbali Hadithimbalimbali
569 subscribers
1,161 views
12

 Published On Jul 17, 2023

Hadithi hii ya Kachiki ni hadithi inayomzungumzia binti mdogo aliyepitia changamoto nyingi na vikwazo vingi kwenye maisha yake. Hadithi hii pia inatufundisha kutokata tamaa kwenye maisha.
Endelea kufurahia na kujifunza kadri unavyozidi kusikiliza hadithi hii.

Pia usisahau ku subscribe kwenye channel yetu hii ya ‎@hadithimbalimbali ili uendelee kujifunza na kuburudika pia.

show more

Share/Embed