MWENYEKITI WA WAFANYABIASHARA: POLISI MLITUMIA NGUVU/ NMEITWA POLISI MARA 4/ WALISEMA TUSHUGHULIKIWE
EastAfricaTV EastAfricaTV
1.14M subscribers
5,354 views
0

 Published On Premiered Jun 27, 2024

Wananchi wa maeno ya kijichi katika jimbo la mbagala jijini Dar es salaam wameeleza kusikitishwa na wafanyabiashara kutelekeza soko la kijichi ambalo serikali imetumia pesa nyingi kujenga kwa manufaa yao.

Wakizungumza na kurasa baadhi ya wananchi hao wameiomba halmashauri ya manispaa ya Temeke kuwahamisha wafanyabiashara wote waliopo kwenye masoko ambayo sio rasmi ili waje kufanyabiashara katika soko hilo lililosuswa.


Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...


Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5

show more

Share/Embed