Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.