Historia ya mji wa Mombasa
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
19,319 views
178

 Published On May 14, 2024

Mji Wa Mombasa Ni Mji Wenye Historia Ndefu Na Ya Jadi, Wanahistoria Wakisema Kuwa Mombasa Ilikuwepo Tangu Karne Ya 12. Katika Eneo Hili La Pwani, Historia Ya Kwa Nini Wanaoishi Mji Huu Wameitwa Waswahili Na Hata Kuzungumza Lugha Ya Kiswahili Kwa Ufasaha, Mavazi Na Vyakula Pia Vikiwa Tofauti Na Vya Maeneo Mengine Ya Kenya. Na Kama Anavyoarifu Francis Mtalaki, Mombasa Ilikuwa Bandari Kabla Ya Kuwa Mji Mkuu Wa Pili Nchini Baada Ya Nairobi.

show more

Share/Embed