Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
Azam TV Azam TV
2.66M subscribers
1,025,658 views
0

 Published On Sep 16, 2023

Ni sare ya 2-2 Simba wanapata kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia dhidi ya Power Dynamos, mchezo wa kwanza hatua ya pili ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, #CAFChampionsLeague

Magoli yote mawili ya Simba yametoka kwa Clatous Chama dakika ya 59 na 90 huku Power Dynamos wakipata magoli yao kupitia kwa Ayoub Lakred aliyejifunga dakika ya 28 na Mulombwa dakika ya 74.

show more

Share/Embed