Uzuri wa Roho | Sweet Sweet Spirit - KAC Band &. Choir katika Mazoezi kuelekea 31st Dec 2022.
Kirumba Adventist Choir (KAC) Kirumba Adventist Choir (KAC)
16K subscribers
1,565 views
0

 Published On Dec 27, 2022

Mazoezi ya Kwaya na Band yaliyofanyika siku ya Leo 27/12/2022.

Siku ya nne kabla ya Event kubwa ya Kirumba Hymns Festival, ikiwa na Theme 'Inuka Tena".

Tukutane hapa baada ya Tukio hili kwa Video motomoto za nyimbo, Mahubiri, Matukio yaliyojili nk.

Pr. Joshua Mbwambo Kutoka NGBF atakuwepo safari hii tena na neno kuu Inuka Tena.

Vikundi Mbalimbali na Waimbaji Binafsi.

Karibu.

show more

Share/Embed