NJITIKA EMPIRE |2|
Vanadium TV Vanadium TV
1.7K subscribers
52 views
2

 Published On May 24, 2024

NJITIKA EMPIRE ( mateso katika makabila ambayo yapo katika mipaka ya himaya kubwa ya gapi inampelekea kijana mdogo mwenye umri wa miaka 20 tu kutaka kuanzisha himaya yake ili tu kuleta amani katika makabila yote sasa ataweza kuanzisha himaya ???? Na changamoto gani hatapitia wakati anaanzisha himaya usikose kufatilia story hii ambayo itaanza hivi punde ndani ya channel yako pendwa ya vanadium Tv , jiandae kupata burudani , vichekesho ,love story , drama kali na mengine mengi )

show more

Share/Embed