MUIMBAJI NGULI WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MHANDO APOKEA MAELEKEZO YA AFANDE SHABANI NAKUYATEKELEZA.
KASHAKALA TV KASHAKALA TV
52 subscribers
1,241 views
13

 Published On Oct 12, 2024

Katika hali ya sasa hivi ya maisha ni muhimu wazazi na walezi kufatilia mienendo ya watoto kuanzia nyumbani mpaka mashuleni ili kuweza kuhakikisha watoto hao wanakuwa katika misingi mizuri kuepusha unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto. Hayo yamesemwa na muimbaji nguli wa nyimbo za injili ROSE MHANDO akiwa amealikwa na mkaguzi wa kata ya MABATINI MWANZA INSP SHABANI KASHAKALA katika kata hio kuweza kutoa elimu.

show more

Share/Embed