UKICHUKULIWA NA MASHAKA YAKO (140 NW)
Shem Kabanza Shem Kabanza
25.8K subscribers
233,651 views
1K

 Published On Jun 15, 2020

140 UKICHUKULIWA na mashaka yako
1. Ukichukuliwa na mashaka yako
na kuona hufu kwamba utakwama,
uhesabu mibaraka yake Mungu,
na utashangaa kwa rehema yake.

Pambio:
Uhesabu mibaraka yote
Mungu aliyoyakubariki!
Ukumbuke mambo yote pia,
na utashangaa kwa rehema yake!

2. Na ukiudhiwa na huzuni nyingi,
ukiona msalaba ni mzito,
uhesabu mibaraka kuchwa pia,
na kwa moyo wote utasifu Mungu.

3. Wengi watamani mali ya dunia;
utajiri wako ni Mwenyezi Mungu.
Uhesabu mibaraka na kumbuka:
Mali haiwezi kufungua mbingu.

4. Na katika mambo yote huku chini
ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi!
Na ujumlishe mibaraka yote,
tena mwisho atakuchukua kwake!

#Nyimbozawokovu #UKICHUKULIWAnamashakayako

show more

Share/Embed