THE CLASSIC FELLA: NILIPIGWA SANA NGUMI/ UGOMVI NA JUMA NATURE NILIKATA TAMAA DIAMOND AKANIFUATA
KuviFacts KuviFacts
11.6K subscribers
4,519 views
44

 Published On Dec 29, 2023

Mkubwa Fella ni moja ya watu muhimu sana katika historia ya Bongo Fleva,uwepo wake kama meneja katika game imeweza kusadia vijana wengi hususani kwa upande wa vija wa Temeke Dar es salaam,akisimamia wasanii kama Juma Nature,Kr ,chege,Mh Temba na wengine wengi,fella alipitia mengi kabla ya kufika hapa alipo na wasanii wakubwa kama diamond,hii ni sehemu ya historia ya maisha yake.

show more

Share/Embed