Utukufu Rapogi (Banana mass) - Live Wedding Performance 2019
MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS MBEGU NYINGINE PRODUCTIONS
57.7K subscribers
322,996 views
907

 Published On Nov 26, 2020

• Utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani iwe kote duniani,kwa watu wenye mapenzi mema.

Tunakusifu tunakuheshimu na tunakuabudu baba tunakutukuza x2.

• Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya utukufu wako mkuu ee bwana,ni Mungu ndiwe mfalme wa mbingu
• Ee baba mwenyezi bwana Yesu kristu ee mwana wa pekee ee Mungu mwana,kondoo wa Mungu mwana wake baba.
• Mwenye kuziondoa dhambi za dunia utuhurumie tuhurumie upokee baba maombi yetu.
• Ndiwe mwenye kuketi kuume kwa baba utuhurumie kwa kuwa ndiwe ,pekee yako ndiwe mtakatifu.
• Pekee yako bwana ndiwe mkuu ee Yesu kristu pamoja naye,roho mtakatifu milele yote.

show more

Share/Embed