Published On Jan 5, 2022
Athor (Salim Ahmed ama Gabo) ni Baba anaejaribu kumlea binti yake Olivia (Betroda Sinforia) katika misingi ya kuja kua mwanamke mwenye kujiamini na kujitambua, licha ya changamoto za utofauti wa kimtizamo toka kwa wanajamii wanao wazunguka hasa Lucas
(Kulwa Kikumba ama Dude) kua na mtizamo tofuti juu ya malezi na uendeshaji wa familia.
Waangalie Salim Ahmed, Kulwa Kikumba, na Betroda Sinforia katika tamthilia ya BABA OLIVIA Desemba 19 kwenye mtandao wa Pendwa.
https://www.pendwa.app/olivia
SUBSCRIBE: / pendwaapp
About Pendwa:
Pendwa is a home for Swahili movies that tell African stories and celebrate African culture. Watch Swahili Movies and TV Shows from your favorite artists in one place without any advertisements. New movies are added every week!
BABA OLIVIA | Official Trailer | Pendwa
/ pendwaapp