Hatua Zote za Kuhakiki Cheti Rita Kwa Simu Yako | Mfumo Mpya 2023
AJIRAMPYAZONE MEDIA AJIRAMPYAZONE MEDIA
5.26K subscribers
19,856 views
92

 Published On Premiered Jun 10, 2023

Hakiki cheti chako rita kwa simu yako kwenye mfumo mpya ulioanzishwa mwaka 2023, Mfumo huu ni kwa ajili ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na vyeti vya vifo kwa ajili ya kuomba mkopo wa heslb. Kuna hatua za kufuat ili kuweza kuverify vyeti / cheti cha kuzaliwa kwa kutumia simu yako au kompyuta. Video hii inaonesha steps zote/ hatua zote za kufuata kuanzia kwenye kujisajili kwenye mfumo wa rita online (eRITA) na kutumia akaunti yako kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa.

Tumeonesha namna ya kuhakiki cheti na namna ya kulipia cheti rita kwa ajili ya uhakiki, kulipia cheti rita kwa kutumia simu ni niia rahisi ambayo tumeona inaweza ikatumika na watu Wengi, #uhakiki_wa_cheti_rita tayari unaendelea kwa ajili ya maandalizi ya uombaji wa mkopo wa elimu ya chuo.

Unaweza ukatumia link hii kuanza hatua za uhakiki kama ilivyooneshwa hapo kwenye video hii,
Start the process here: https://www.ajirampyazone.com/2023/06...

Verify vyeti rita bila usumbufu wa kwenda stationary.


CONNECT WITH US!!! ⬇️

TWITTER
https://twitter.com/UtumishiPortal?s=09

INSTAGRAM
  / utumishiportals  

LINKEDIN
  / utumishiportal  


YOUTUBE
   / ajirampyazonemedia  

FACEBOOK PAGE
  / utumishiportal  

show more

Share/Embed