UCHURO PART 1 |NEW BONGO MOVIES 2022 | SWAHILI FILAM MPYA
BUSATI TV BUSATI TV
137K subscribers
30,986 views
269

 Published On Mar 16, 2022

Mzee Kamba Tatu, anatabiri Kiza kinene kutanda nyumbani kwa Moza. (Msiba kutokea) Mzee Kamba Tatu anamsihi Moza kutoruhusu Mgeni wa kiume kulala nyumbani kwake la sivyo Umauti utamkuta Mgeni huyo. utabiri wa Kamba Tatu unatimia baada ya Moza kupokea Wageni, Je ni kweli Kiza Kinene kitatanda nyumbani kwa Moza?

#uchulo #foa #episode1

show more

Share/Embed