ADUI WA MILA NA DESTURI ZA WATAITA.
Rangile Tv Rangile Tv
5.92K subscribers
404 views
9

 Published On Jun 5, 2024

Kila jamii ulimwenguni ina mila zake ukatae ukubali. leo tunaangazia kwa kifupi baadhi ya mila za jamii ya wataita wanaotokea Kaunti ya Taita Taveta huko pwani mwa Kenya.

Inasemekana dini elimu na siasa ni adui wakubwa wa mila muhimu za jamii hii. Mheshimiwa Thomas Mwadeghu aliyekuwa mbunge wa wa eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta kwa miaka kumi anatoa maoni yake kuzihusu mila za jamii hii, yeye ni mtaita na anadai kuzijua na kuzifuata zote.

Anasema japo mila zingine zilipitwa na wakati bado pana haja ya jamii yoyote kufuata mila na desturi zake zinazohifadhi utamaduni wa jamii husika.

Tazama tunapozungumzia suala hili pamoja na fighi za kitaita ambazo Mwadeghu anadai huenda zilikasirika na hili kupelekea kukosa maendelelo na umoja wa jamii. Iwapo una maoni kuhusu suala hili tuandikie.

Tupatie maoni yako. Karibu, angalia video zetu, usambazie wenzio na kama hujajiunga nasi tafadhali jiunge kwa njia ya ku subscribe na utabarikiwa mpaka ushangae.

Join this channel to get access to perks:
   / @rangiletv  

Social Media Links:
https://www.facebook.com/rangiletv/?m...
  / joel.mburia  
Twitter:   / rangiletv  
  / mburiajoel  
Email: [email protected]

show more

Share/Embed