INCUBATOR ZA MAFUTA YA TAA.Jifunze kutengeneza mashine za kutotolesha vifaranga za mafuta ya taa
MKULIMA SMART TV MKULIMA SMART TV
28.8K subscribers
30,844 views
188

 Published On May 21, 2021

MASHINE ZINAZOTUMIA MAFUTA YA TAA (Manual Kerosene Incubator)
KOROSENE INCUBATOR:(mashine ya mafuta ya taa ya kuangulia vifaranga)ni kifaa kilichogundulika na kutumika kutotoleshea vifaranga kabla ya vifaa vya kielektroniki havijagunduliwa duniani.Ni kifaa kilichofanya vizuri kwa miongo mingi kabla ya teknolojia mpya hazijaingia.Japo ina uhakika mkubwa wa kutoa vifaranga changamoto iliyonayo ni kuhitaji mtu wa kuihudumia kila baada ya masaa 6 kwa siku zote 21 mpaka mayai yatakapo totolewa
FAIDA:
1.Teknolojia hii ni bora zaidi ya hizi za kisasa kwa sababu maeneo mengi hayana umeme hasa wa uhakika hivyo kuongeza hasara kwani kukosekana kwa nishati zaidi ya nusu siku hufanya mayai yasitotolewe hata kama ilkuwa imebaki siku moja kwani mayai huharibika .kwa kifupi ni bora kwa mazingira ya hapa nchini na kwingneko umeme sio wa uhakika kwa saa24 wiki nzima

bei ya mashine ya kuangua vifaranga

bei ya incubator 2021
bei ya incubator ndogo 2021
kutotolesha vifaranga kwa kutumia boksi
namna ya kutengeneza mashine ya kutotolesha mayai
mashine ya kutotolesha vifaranga in english
jinsi ya kutumia mashine ya kutotolesha vifaranga

incubator ya kienyeji
bei za incubator tanzania
incubator inauzwa
incubator for sale in dar es salaam
incubator ya kienyeji
solar incubator in tanzania
hatchery machine price in tanzania
bei ya incubator ndogo 2021
incubator ya mayai 100


#mkulimasmart
#shambadarasa

show more

Share/Embed