Naibu rais amjibu Rais Uhuru Kenyatta aliyemtaka kuondoka
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
607,992 views
2.7K

 Published On Aug 24, 2021

Naibu Rais William Ruto sasa anasema katu hatajiuzulu, akimjibu Rais Uhuru Kenyatta aliyemtaka aondoke iwapo haridhiki serikalini. Ruto ambaye alikuwa akizungumza katika mazishi huko Taita Taveta amesema kwamba hakuna yeyote atakayemshurutisha kujiondoa serikalini. Na kama anavyoripoti Stephen Letoo, wandani wa rais nao sasa wanatishia kuwasilisha hoja ya kumng'atua naibu rais ofisini.

show more

Share/Embed