Ibada ya Hija yaanza leo Ijumaa ⁣Makka, Saudi Arabia
VOA Swahili VOA Swahili
260K subscribers
457 views
0

 Published On Jun 14, 2024

Hija ya mwaka huu ambayo inachukuliwa kuwa ni ya kihistoria ni kwa sababu kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya muongo mmoja Mahujaji kutoka Yemen, Syria na Iran wameruhusiwa kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu. Hii ni kufuatia mazungumzo kati ya serikali ya Saudi Arabia na nchi zao. Saudi Arabia imetoa tamko kwamba hawataruhusu siasa kuingilia kati ibada ya Hija.
Waumini wa Kiislam wanaendelea kukusanyika kuzunguka eneo la al-Kaaba katika Msikiti Mkuu wa Makka Saudi Arabia.
Hija ni nguzo ya tano ya Kiislam na inaanza tarehe 12, ya mwezi wa Kiislam, Dhul Hajj.⁣
Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislam ni wajibu wa kila Muislam aliyekuwa na uwezo wa kiafya na kifedha kufanya ibada hii walau mara moja katika uhai wake. - Reuters⁣
#hija #haji #mahujaji #waislam #uislam #makka #riadh #saudiarabia #voa #voaswahili

show more

Share/Embed