TUNDU LISSU AFICHUA SIRI NZITO KUHUSU NAPE NA JANUARY MAKAMBA | WANATUMIA MAJINA YA BABA ZAO "KUIBA"
MADORA TV MADORA TV
82.7K subscribers
79,031 views
219

 Published On Jul 26, 2024

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu amesema Nape Nauye na January Makamba waliondolewa kwenye Uwaziri hivi karibuni hawana nguvu CCM na kwamba wanaishi kwa majina ya Baba zao.

Amesema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-Salaam akitokea Nchini Ubelgiji

show more

Share/Embed