Viongozi wa kidini wataka ofisi ya Mkuu wa Mawaziri kufutiliwa mbali
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
11,167 views
70

 Published On Jul 8, 2024

Viongozi wa kidini kutoka Kajiado wanamrai Rais William Ruto kusikiza kilio cha wakenya na kupunguza matumizi ya fedha ya serikali.
Viongozi hao wanasema kuwa afisi hiyo haitambuliwi kwenye katiba na hivyo inasababisha pesa za umma kutumiwa visivyo. Hata hivyo wamependezwa na hatua rais kuondoa bajeti ya ofisi za wake wa rais na naibu wa rais . Aidha viongozi hao wanamtaka rais kufutilia mbali ofisi ya mkuu wa mawaziri na badala yake kuwaajiri vijana.

show more

Share/Embed