Madini-Nimekusamehe (Official Music Video)
Madini_TZ Madini_TZ
27.7K subscribers
64,299 views
1.8K

 Published On Premiered Dec 21, 2022

#madini#Nimekusamehe#Sgizomusic
Ni Mwisho wa Mwaka 2022 Tuufunge Mwaka kwa kusameheana.Kwenye Video ninaonekana nina mpenzi ambaye anatoka kimapenzi na mwanaume mwingine na pamoja na kumfuma mara kadhaa akiwa na huyo mwanaume naamua tu kumshughulikia mwizi wangu wa mapenzi na kumsamehe kwa yote mpenzi wangu. Hebu fuatilia mwenyewe hii Video nautoe comment yako hapo chini.

Video Directed by Director Eddy.

Audio Imetayarishwa na MOCCO GENIOUS @MoccoGenius at Imagination Sound.

follow Madini in Social Media for more Songs
  / madinii_tz  
  / madini_tz  
https:/tiktok.com/madini_tz
Enjoy the Good Music

show more

Share/Embed