THE CLASSIC PROF JAY EP 1:MIONGO 3 YA GAME/HISTORIA YA BONGOFLEVA/TAJI NI LANGU/SIKUA NA NAULI
KuviFacts KuviFacts
11.6K subscribers
52,831 views
435

 Published On Jul 7, 2023

Uliikosa The Classic na Professor Jay ambae ni moja ya ma MC Bora na Muhimu wa Muda wote katika historia ya Bongofleva na Hiphop kwa ujumla Tanzania na Afrika ya Mashariki ?

Basi hii hapa nimekuwekea dakika 37 ambazo zitakupa mengi juu ya muziki wetu na heshima alisomika Professa jay kwenye Game yetu kwa ujumla ,HUPASWI KUZIKOSA HIZI

Usisahau ku subscribe

show more

Share/Embed