Machinga wa Kariakoo wafungieni barabara
UTV Tanzania UTV Tanzania
66.2K subscribers
373 views
0

 Published On Jul 5, 2024

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kukaa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kuwapanga wamachinga wanaopanga biashara zao mbele ya maduka Kariakoo… akiwataka wafunge baadhi ya barabara ili wafanyabiashara hao waweze kupata fursa ya kufanya biashara.

#AzamTVUpdates
Mhariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi

show more

Share/Embed