DJ SEVEN Afichua FITNA alizofanyiwa HARMONIZE/DIAMOND Anajua Mengi/Wanaijeria Wametuacha Mbali
Rick Media Rick Media
884K subscribers
5,230 views
116

 Published On Jun 12, 2024

Pamoja na kuonekana kulalamika kupitia kwenye mitandao ya kijamii siku chache baada ya Harmonize kusadikika kutoka kimapenzi na Poshy Queen aliyekuwa Dj wa Harmonize DJ SEVEN amesema kuwa Hajawahi kutoka kimapenzi na Mrembo huyo na hata jumbe alizokuwa anaandika Instagram zilikuwa haziwahusu wawili hao
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
.
#Harmonize #DiamondPlatnumz

show more

Share/Embed