KINACHO ENDELEA SIMBA NI NINI?
Richard Sosten itatilo Richard Sosten itatilo
630 subscribers
24 views
2

 Published On Jul 11, 2024

Kuna nini kinaendelea katika klabu ya Simba SC? Hivi majuzi Salim 'Try Again' Abdallah alijiuzulu kutoka kwa bodi ya klabu na kumuomba Mo Dewji kushika usukani. Tukio hili na mengine mengi yameibua maswali kuhusu mustakabali wa 'Wekundu wa Msimbazi'.

show more

Share/Embed