KIBOKO YA WACHAWI ALIA KWA UCHUNGU AKIOMBA MSAMAHA | SIJAWAI KUTOZA PESA KUNIONA | WANANISINGIZIA TU
MADORA TV MADORA TV
84.8K subscribers
56,800 views
349

 Published On Aug 3, 2024

Baadhi ya waumini wa Kanisa la Nabii Dominic maarufu kama Kiboko ya Wachawi wakitoa vilio vyao baada ya kufungiwa huduma kiongozi huyo katika Kanisa lake lililopo Maeneo ya Buza kwa Lulenge Jijini Dar es Salaam.
Waumini hao wameendelea kukesha usiku kucha na mchana kutwa wakiendelea kuomba serikali kuwaeleza nini kimepelekea kufungiwa kwa mchungaji huyo na kuomba kufunguliwa huduma.

show more

Share/Embed