AFYA NI MTAJI
OteshaTime Tanzania OteshaTime Tanzania
697 subscribers
129 views
0

 Published On Premiered Jan 11, 2023

Mr.James John Silas
• Ni mkazi wa kilimanjaro moshi mjini mume na baba wa watoto wanne
wawili wa kiume na wawili wa kike. Amepata maendeleo kupitia kazi ya kutunza bustani,ulinzi pamoja na kilimo.
Amesema afya ni mtaji na maisha siku zote ni kudhubutu .
• Ameishauri jamii kujikita katika kufanya kazi uku akiwahasa vija kuacha tabia ya kukaa vijiweni bila kufanya kazi,kuwa inawachelewesha kimaendeleo...
Kupitia kazi zake ameajiri vijana watano na anampango wa kwenda nchini spain kikazi...

• Karibu sana mtazamaji wetu wa ‪@OteshaTime_Services‬ kwa Kusubsribe na kushare channel yetu ,ndipo vipindi vyetu vyote vitaifikia jamii moja kwa moja na kuleta chachu ya maendeleo katika maisha ya kila siku..

• Tunakuletea vipindi mbalimbali vinavyoweza kutazamwa na kila mtu,kikubwa ni kupiga hatua moja zaidi kwenye maisha ya kila siku kwa kujifunza na kuchukua hatua,ili kusimama katika kilele cha mafanikio..

Asante kwa utazamaji wako na karibu kwa Comment .√

show more

Share/Embed