KILELENI | Full Movie
Adam Leo Studios Adam Leo Studios
146K subscribers
155,624 views
2.5K

 Published On May 25, 2024

KILELENI | Full Movie
Kutokana kutomfikisha kileleni mke wake Adam ana gombana na mkewe kiasi cha kupelekea ndoa yao kutaka kuvunjika, busara za Adam zinasababisha wanapatana na kufanikiwa kurekebisha ndoa yao.

Kwa filamu nzuri kama hizi hakikisha una subscribe chaneli yetu ili usipitwe na mambo mazuri.

#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #kileleniflamu

show more

Share/Embed