UJENZI KWA TEKNOLOJIA YA HYDRAFORM UNAVYOPUNGUZA GHARAMA
Shirika la Nyumba la Taifa Shirika la Nyumba la Taifa
5.99K subscribers
34,646 views
229

 Published On Nov 12, 2017

Ujenzi kwa kutumia matofali ya Hydrafom unapunguza matumizi ya saruji inayotumika kwenye ujenzi wa kuta za nyumba kwa sababu matofali hayo yanashikana yenyewe na kuondoa haja ya kuwepo saruji kati ya tofali na tofali.

show more

Share/Embed