Published On Premiered Apr 18, 2021
I know u gon' like it, yeah i know u gon' like it
Yeah yeah, utaipenda he he he utaipenda aah..
Siogi nje ndo maana sina wasiwasi (haaa)
Sina hofu coz mi sio mbuzi wa shughuli (oh oh ooh)
Siogi nje ndo maana sina wasiwasi (yeah yeah)
Sina hofu coz mi sio mbuzi wa shughuli
Nakata hizi verse bila wasi (wasiii)
Ntakaza mpaka mwisho labda nife keshooo
Hii sio ngoma droo mjomba ushindi lazima (Hii leo)
Hii sio ngoma droo mjomba
ushindi lazimaaa (Hii leo)
Kwa moyo, kwa chuki, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa
Uso wako unachukia kipaji changu (haaa)
Moyo wako unafurahia sauti yanguuu (oh oh ooh)
Uso wako unachukia kipaji changu (yeah yeah)
Moyo wako unafurahia sauti yanguuu
Hizo kunde sina kabisa mpango nazo (mpango nazoo)
Najua wazi mashuzi zitaniongezea more (more)
Walidhanj nacheza natania (tania, hii leo)
Mungu sio.......... akanipandisha
Kwa moyo, kwa chuki, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa
A-City is in a house house
Yeah, yeah i know u gon' like it (utai, u-u utaipendaaaa)
Aah yeah, i know u gon' like it, (kwa moyo kwa chuki utaipendaaa)
I know u gon like it baby yeah, aah
Kama nawa-over dose cocaine
Kama nawa-weka waiting in vain
Chief men level ni Obama kwa Macain
Kwa feeling hizi lazima utoe machozi hussein
Mashahiri hayalali mtaani yamekuwa security
Microscope haioni impureties na-murder dis
Haya si maigizo ni reality
Nani ana dis u just actress am an actor
Nakimbiza huu mchezo kila bacta
Look men, nikianzisha unafata
Aah ah ah, i am a shutter na kama shutter na shaka ni kina pia
Tunapangilia hatujaribu usinijaribu, karibu karibu nikuharibu ukasimulie
Joe ni Makini kama Shaka ustie
Ni bless za Jah, yes bless za Jah
We make dis noise A-City is in the House
Ye-ye- yeah we in a house, ah yeah
I know u gon' like it baby
Kwa moyo, kwa chuki, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa
Kwa moyo, kwa chuki, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa (oh oh ooh)
Kwa chuki, kwa moyo, utaipenda (yeah)
Utaipenda (leo)
Utaipendaaa
Yeah, yeah i know u gon' like it
(eh eh eh eh, eh eh eh eh eh)
Aah Yeah
I know u gon' like it, (eh eh eh eh, eh eh eh eh eh)
(utaipendaaaaa) heeeeeee
Subscribe For More Official Content From Hussein Machozi: https://m.youtube.com/c/HusseinMachoz...
Hussein Machozi Booking Info:
Email: [email protected]
Catch Up With Hussein Machozi On:
Instagram: / husseinmachozi100
Twitter: / machozihussein
Catch Up With Joh Makini On:
Instagram: / johmakinitz
Twitter: / johmakini
Listen To Hussein Machozi:
Apple Music: / hussein-machozi
Spotify: https://open.spotify.com/artist/20okz...
AudioMack: https://audiomack.com/hussein-machozi
Boomplay: https://www.boomplay.com/share/artist...
Mdundo: https://mdundo.com/a/234831