COMRED MFAUME AWAKUBARI ZINGIZIWA / ATAJA BILIONI 15 UTEKELZAJI MIRADI YA MAENDELEO.
R24 MEDIA R24 MEDIA
13.6K subscribers
52 views
2

 Published On Premiered Sep 24, 2024

#ENDELEA KUTUFATILIA R24 MEDIA KWA AJILI YA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI : BOFYA LINKI, SUBSCRIBERS :    / @r24media  

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam Comred Janus Mfaume akiongozana na Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala leo September 24, 2024 amefanya ziara ya kikazi Kata ya Zingiziwa.

Lengo la ziara ya Comred Mfaume ni kuhakiki kamati za Ushindi za Jumuiya na Chama kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Comred Mfaume amesisitiza umuhimu wa wanachama kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano ili kuleta tija katika utekelezaji wa majukumu ya Chama.

Katika ziara hiyo zaidi ya wanachama 300 wa Jumuiya ya Wazazi wamepata fursa ya kujisajili katika mfumo kadi za kieletroniki.

show more

Share/Embed