Mahafali ya Darasa la Saba shule ya Msingi Mtinko
Dugo TV Dugo TV
22 subscribers
112 views
0

 Published On Aug 29, 2024

Madiwani Kata Ya Mtinko Mh Bilal A Yusuph na Mh Kisuda (viti maalumu) wasisitiza malezi yenye maadili kwa watoto wakiwemo wanafunzi ili wawe na maarifa ya kuishi vyema katika jamii na hatimae kupinga vikali imani za kishirikina zinazoleta vifo katika jamii
wameyasema hayo katika mahafali ya Darasa la Saba shule ya msingi Mtinko

show more

Share/Embed