Mkasi - SO3E06 with Ray
MkasiTV MkasiTV
174K subscribers
261,800 views
683

 Published On Jun 25, 2012

Mkasi S03E05 Mgeni wetu ni Vicent kigosi ambaye ni muigizaji wa Filamu za Kitanzania (BongoMovies), Katika kipande hichi cha msimu wa tano, Vincent kigosi anaongelea jinsi gani Jina lake maarufu la RAY lilipotokea, pia anaongelea kuhusu uigizaji kama ajira.

Pia anazungumzia kuhusu changamato wanazokumbatana nazo katika tasnia ya filamu, pia uhusiano wake na Steven Kanumba.

Usisahau kusubscribe kwenye channel.
   / @mkasitv  

our website: http://mkasi.tv/

show more

Share/Embed