Mtanzania Milionea Mtarajiwa alieacha kazi ya mshahara wa milioni 1
Millard Ayo Millard Ayo
5.09M subscribers
185,950 views
0

 Published On Jul 15, 2017

Jarida la FORBES ambalo limekua likitoa ripoti za watu mbalimbali duniani lilimtaja Mtanzania Upendo kuwa miongoni mwa Watanzania watatu wa kuwaangalia, yani ni Mamilionea watarajiwa.... stori yake yote ipo kwenye hii video.

show more

Share/Embed