PATA NJIA RAHISI YA KUPATA MKOPO WA NYUMBA KWA GHARAMA NAFUU ZAIDI NA WA MUDA MREFU
Shirika la Nyumba la Taifa Shirika la Nyumba la Taifa
6K subscribers
2,586 views
21

 Published On Jul 16, 2021

Katika mfululizo wa Vipindi vya Maisha ni Nyumba tumekuwa tukipata maelezo ya kina ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Shirika la Nyumba la Taifa. Katika programu hii, kipindi kimefanya mazungumzo na Benki ya Azania na Meneja Mwandamizi Idara ya Biashara ambaye anazungumzia historia ya Benki hiyo na kisha mikopo wanayoitoa kwa Watanzania.

show more

Share/Embed