Wabunge kutoka kaunti ya Baringo wadai maandamano ya Gen Z yanafadhiliwa wataka kugeuza serikali.
NTV Kenya NTV Kenya
2.51M subscribers
2,861 views
7

 Published On Jul 3, 2024

Wabunge kutoka kaunti ya Baringo wanadai kwamba maandamano ya Gen Z yanafadhiliwa na wanasiasa, ambayo wanaotaka kugeuza serikali.
Maandamano ya mswada wa fedha 2024 ambayo hapo awali yalianza kama ya amani yamekumbwa na wahuni ambao wameharibu mali na biashara na kusababisha hasara kubwa haswa kwa wafanyabiashara.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

show more

Share/Embed