ALIYEKUWA ASKARI WA JWTZ ASIMULIA ALIVYOFUNGWA JELA MIAKA 9 KWA KUSINGIZIWA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO
Millard Ayo Millard Ayo
5.19M subscribers
562,598 views
4.2K

 Published On Premiered Apr 4, 2022

Moja ya matukio makubwa yaliyotikisa nchi katika serikali ya awamu ya Nne ni tukio la ujambazi wa uvamizi magari ya kusafirishia fedha zilizotoka Bank ya NMB posta Dar es salaam kwenda NMB Dakawa morogoro.

Tukio hilo lilitokea maeneo ya mataa ya ubungo ambayo kwasasa pana fahamika kama Daraja la Kijazi ambapo ni tukio lililoacha simanzi na majozi na vifo kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi na wafanyakazi wa NMB Dakawa morogoro.

Sasa leo tunaye aliyekua askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ Nazareth Amulike ambaye naye alikumbwa na masahibu makubwa yaliyosababisha kukukaa mahabusu kwa zaidi ya miaka 9 ambayo aliingia 2006 na kutoka 2014.

Nazareth ana mengi ya kutuambia nini kilifanya yeye pia akamatwe kwa kusingiziwa katika kesi hiyo na kukaa jela miaka yote hiyo.

show more

Share/Embed