Otile Brown - Alivyonipenda Feat. King Kaka (Official Video)
The Health Village By Dr. Eddie The Health Village By Dr. Eddie
40.7K subscribers
1,875,373 views
10K

 Published On Mar 1, 2016

New hit single by Otile Brown performing the song ALIVYONIPENDA feat. King Kaka. Audio produced by Still Alive and video directed by dr. Eddie ©Dreamland Music Entertainment 2016

Lyrics

OTILE BROWN VERSE 1
Saa zingine anayekupenda humpendi, unapenda mwingine, anayependa mwingine hata asiye mpendanga...
Na kila mtu anataka type yake, saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga...

CHORUS
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

OTILE BROWN VERSE 2
Yule aliyenipenda bure, nikamuacha kwa ajili yake yule, aliyefata pesa na Zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli Macho yalinihadaa
Haki Macho yalinihadaa...

Alivyonipenda kwa bidii, Suzeed kanionya mimi sisikii.. Urembo pekee hauridhishi, inahitaji zaidi..

Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu... Type yangu, ni yule anaenienzi...

Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?

CHORUS
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

KING KAKA
Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless, nikimuona nasinzia ka nameless... Uko? Ntakuja kalesa, love ilikuwa genuine than leather... Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo, wakati stima kwangu was candle, wakati birthday yake haikuwa na keki...
Wakati nikisota alinipiga jeki, nikachanganyikiwa na rangi ya thao, yangu ikafunguka club ndio makao, leo Macha kesho coast tunakacha hata.
Tulizi document snapchat, niko empty nammiss kishenzi... Alinipa ya kweli mapenzi... Lonely mamiss alivyonipendanga...

CHORUS
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga..

show more

Share/Embed