Boss Lady: Zari Hassan azungumzia kutengana na Diamond Platnumz akihojiwa BBC Swahili
BBC News Swahili BBC News Swahili
624K subscribers
99,728 views
604

 Published On Feb 23, 2018

Baada ya tetesi nyingi hatimaye mjasiriamali na mama watoto wa mwanamuziki maarufu barani Afrika kutoka Tanzania Diamond - Zari Hassan, ameubwaga moyo na kuweka wazi hasa kilichowasibu wawili hao maarufu. Katika mahojiano maalum na Mariam Omar wa BBC, Zari ameulizwa iwapo Diamond mwenyewe alikuwa akitarajia ujumbe mzito wa kutengana alioutoa kwenye ukurasa wake wa Instagram.

show more

Share/Embed