NANA DOLLS - Asimulia alivyokutana na Boy Friend wake, Kukataliwa na Baba yake Mzazi! Part 1
LilOmmyTV LilOmmyTV
547K subscribers
52,452 views
758

 Published On Jul 25, 2022

Hii ni stori nzuri ya kweli ya maisha, Kukataliwa na Baba yake, Kujitaidi kufanya jitiada za kukutana na baba yake na bado ikashindikana kulelewa, Kuingia mtaani, chuo na kukutana na Boy Friend aliyebadilisha maisha yake!

Tazama interview ya Mrembo Nana Dolls, aelezea safari ya kuja Dar Es Salaam Stand ya Ubungo kuonana na Baba yake wakiwa hawajuani na wala hawana mawasiliano kwa simu!

Nana Dolls aelezea pia Kuweka hela wakati yupo chuo ambazo baadae aliweza kufanya biashara, kununua viwanja na kuanza kujenja!

Maisha anayoishi, na Maneno ya Mtandaoni anavyodeal nayo!

Subscribe channel hii #LilOmmyTV kuangalia full interview ya #NanaDolls #podcast

Let's Coonect
  / lilommy  
  / lilommy  
  / lilommyfanpage  

show more

Share/Embed