KILIMO BIASHARA: UHAMIAJI KUTOKA UKULIMA WA MAHINDI HADI PARACHICHI
Laurine Jepchirchir Laurine Jepchirchir
261 subscribers
269 views
32

 Published On Sep 25, 2024

Makala Hii inaangazia tofauti kati ya ukulima wa mahindi na parachichi, kati ya changamoto, na faida. Hata hivyo wakulima katika kaunti ya Nandi wamekumbatia mfumo huu wa kupanda parachichi ambayo ina faida nyingi ikilinganishwa na ukulima wa mahindi, pia inasihi wakulima kutumia mbinu za kisasa ili kuboresha ukulima na kupata mapato zaidi.

show more

Share/Embed