Daktari aliyedaiwa kuwaua watoto wake wawili huko Nakuru amefariki
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
5.22M subscribers
26,038 views
117

 Published On Sep 22, 2021

Daktari James Gakara anayedaiwa kuwauwa wanawe wawili na kisha kujaribu kujitia kitanzi amefariki hii leo. Familia yake ambayo bado ilikuwa imesalia na maswali chungu nzima kuhusu kiini cha mauwaji ya watoto hao sasa inakabiliwa na kifo cha daktari Gakara. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, hafla ya mazishi ya watoto hao iliyopangiwa kufanyika ijumaa wiki hii huenda ikaahirishwa kufuatia kifo cha baba yao.

show more

Share/Embed