Foby - Wasanii wengi wanakimbilia Yanga kufuata pesa, Aziz Ki na Feisal bado hawana ubora
Ndani ya 18 Ndani ya 18
18 subscribers
54 views
2

 Published On Oct 8, 2024

Mwanamuziki wa Bongo Flava na Mwana soka, Foby, Amezungumza na Ndani ya 18 nakuweka wazi kuwa anaona wasanii wengi wanakimbilia kwenye timu ili kufuata upepo wa pesa, Nakuweka wazi kuwa Aziz Ki na Feisal ubora wao kwasasa umeshuka.

show more

Share/Embed