Best Capstone Ministers Songs on SIFA
Hope Channel Kenya Hope Channel Kenya
94.5K subscribers
26,388 views
0

 Published On Premiered Mar 22, 2024

#SIFAHCK #SIFAT10 #MissiontoTurkana
Asante sana kwa muongo mmoja wa uimbaji. Imekuwa furaha sana kubarikiwa na kwaya mbalimbali katika miaka michache iliyopita na kushuhudia nyimbo nzuri katika SIFA. Ni heshima kusherehekea hatua hii muhimu nawe mtazamaji tunapoanza rasmi sherehe zetu. Mengi zaidi ni katika #SIFAHCK leo hii na wana Capstone Ministers.
Barikiwa.

show more

Share/Embed