WAKAZI WA DODOMA KUFAIDI UHONDO WA TAMASHA LA PASAKA APRILI 8, 2018
Kajunason TV Kajunason TV
16.8K subscribers
77 views
1

 Published On Mar 23, 2018

Wakazi wa Dodoma wanatarajia kufaidi uhondo wa Tamasha la Pasaka 2018 ifikapo Aprili 8, 2018 ndani ya Uwanja wa Jamhuri.



Akitangaza neema hiyo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amesema kuwa haoni namna ya kuwanyima wakazi wa mji mkuu wa Tanzania, Dodoma uhondo wa Tamasha la Pasaka na baada ya kumaliza mazungumzo hatimaye ameamua kutangaza rasmi.



Msama amesema kuwa wakazi wa Dodoma na vitongoji vyake hawana budi kulisubiria Taamasha hilo ambalo hufanyika mara moja tu kwa Mwaka.



"Wakazi wa Dodoma napenda kuwakaribisha kwenye Tamasha la Pasaka 2018, hauna haja ya kulikosa maana lenyewe hufanyika mara moja tu kwa mwaka na nyie mmeopata upendeleo wa Ajabu, Tutaanza na Kanda ya Ziwa ndani ya CCM-Kirumba - Mwanza Aprili 1 na kuelekea kule Simiyu Aprili 2 ndani ya Uwanja wa Halmashauri.

show more

Share/Embed