DIZASTA VINA : UCHAMBUZI WA ALBUM YA THE VERTELLER/HATIA/NDOA NDOANO/KIFO/IMANI YAKE/KIFO
KuviFacts KuviFacts
11.6K subscribers
8,115 views
260

 Published On Feb 26, 2024

Haya ni mahijoano yalioangaza uchambuzi wa Album iliopita ya moja ya ma MC bora kabisa wa Hiphop Dizasta Vina,mahjiano haya ya siku za nyuma kidogo tumeichambua album yake iliopita ya The Verteller na kuziangalia nyimbo za Hatia,Ndoa ndoano, na nyengine nyingi ambazo pengine hukupata kumsikia akizizungumzia,tutamtafuta kwa Album yake mpya hivi karibuni,Enjoy

show more

Share/Embed